Mtaji milion 3.

vide2014

Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
27
Reaction score
4
Hivi wakubwa ukiwa na mtaji wa kiasi cha m3, ni biashara gani unaweza kumshaur mtu?
 
biashara ya makopo ya maji mkuu
 
Yeah kweli bodaboda inalipa tena kwa million 2 unapata boda ya ukweli na million 1 unafanyia biashara nyingine.
Karibu officini GX INVESTMENT SYANSI upate bodaboda ya HAUJUE ikiwa imesajiliwa na kukupa warantii.
 
bodaboda inalipa kwa vigezo vp?
Unajua mazingira aliyopo huyu jamaa?
Bodaboda ni sawa na kuweka pesa yako rehani, chombo kikipata ajali au kuibiwa, imekula kwako!
 
Tafuta sehemu nzuri ufungue genge duka linalipa sana kama utakuwa umelenga mahali pazuri.
 
bodaboda inalipa kwa vigezo vp?
Unajua mazingira aliyopo huyu jamaa?
Bodaboda ni sawa na kuweka pesa yako rehani, chombo kikipata ajali au kuibiwa, imekula kwako!

Mkuu nimeshafanya research ya podaboda zinalipa sema mazingira ya biashara ndio yafaa kuzingatia na kupata dereva muaminifu.
 
Mkuu nimeshafanya research ya podaboda zinalipa sema mazingira ya biashara ndio yafaa kuzingatia na kupata dereva muaminifu.

yah! Upande fulani unaweza kuwa sawa hasa kama huyu jamaa yuko Dar na maeneo mengine ya mjini!
 
fanya biashara ya madawa ya kulevya utatoka fasta :embarassed2::embarassed2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…