HALELUYA MOSHI
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 2,121
- 1,204
Huwezi eleza kwa mtu mwingine mka/tuka gawana hiyo%?Ungekuwa dar ningekuelekeza biashara faida tungegawana na mchanganuo wake sio kwa kuandika ni kwa vitendo pakununulia mpaka pakuuza
Bajaji anaweza kupata kwa mi 3?nunua bajaji kwa mtu kila siku unapewa 20000 kwa mwez wapewa 600000 kwa miez mitano hela yako imerud
used anapataBajaji anaweza kupata kwa mi 3?
Sent from mTalk
Iringa sehemu gani?Wekeza kwenye kilimo cha tangawizi iringa halafu tasimamia mmi kama unaniamini, nipo tu nishamalza chuo halafu faida itakayopatikana tutawasiliana
Uvunaji wa tangawizi ndani ya miezi 6 inauwezekano wa kkuingizia milioni 24 kama unaniamin namba zangu hiz hapa 0714145928
Printer ya laki moja ni kimeo!!!M3 haitoshi kwa stationery
Hebu tuchambue
Kodi ya chini laki 1 kwa miezi 6 laki sita
Photocopy mashine ya kawaida milioni 1
Computer na monitor laki 4
Printer ya kawaida laki 1
Makabati ya kioo mawili laki 5
Viti 2 laki moja
Meza ya computer laki 1
Bidhaa za kuanzia milioni 1
Miscellaneous laki 2
Kwa mahesabu ya haraka na kujibana sana stationery ndogo inahitaji milioni nne hapo ni kama chumba kimekamilika kila kitu
Hiyo bajaji ni bei gani?nunua bajaji kwa mtu kila siku unapewa 20000 kwa mwez wapewa 600000 kwa miez mitano hela yako imerud
akinunua kwa mtu anapata hata kwa 3mHiyo bajaji ni bei gani?
hii biashara imesimam sana kama utaweza point mzigo mzuri na ukawa na location inayofikika vizur.kuna jamaa anatuuzia viatu bei ya chini elfu 80 na mzigo jamaa unatembea kama niniUna kodi fremu kwa laki moja unalipia miezi 6 hiyo ni laki 6
Unanunua viroba 3 vya viatu kwa kuanzia hiyo ni laki 450
Unatumia laki 2 Kwa modification ya fremu usafiri nk
Kwahiyo jumla unakuwa umetumia 1,250,000/=
Unapofungua kiroba fanya hivi
Unachagua pair kumi bora Moja elfu kumi hapo una laki moja
Unachagua kumi nyingine Moja elfu 7 hapo una elfu sabini tayari
Unachagua kumi nyingine unauza Moja elfu 5 hiyo ni elfu hamsini tayari
Zilizobaki 20 unauza kwa Moja elfu 3 hiyo ni elfu 60
Kwahiyo kwa makisio ya chini kabisa unakuwa umeuza kiloba kwa 280000
kweli mkuu sasa hivi watu tunadefance njaa maendeleo badaeTukija ni biashara gani kwangu Mimi sasa hivi kutokana na hali ngumu deal na chakula tuu. Kama usipokuwa mvivu duka LA uswaz frem kimtaa ni kama 40000 marekebisho 250000. Mzan 160000. Utabaki na 2000000 hili duka ni kubwa sana faida ni kama 20% ya mauzo generally. Ukipata eneo zuri mauzo ya 300000 ni kawaida.
Note. Usimdharau muha ni noma hii biashara wasomi wanaikwepa lkn waha wanamea
Mkuu kwenye heka 1 unaweza pata pesa ngapi?Tatizo ndo hili...watanzania tulionalo..una mtaji wa milion 3..unataka biashara ya mbali ambayo haitahitaji usimamiz wako kwa sasa..umeambiwa kanunue mashamba ya miti..Unasema ni ya miaka mingi 10 na kuendelea..so hiwez fanya biashara hyo...sasa unataka kufanya biashara gani ww?hakuna biashara itakayoendelea bila usimiz wako mkuu,utalia bure..utataman hzo hela ungekula tu wallah..Ngoja nikupe evidence 1..mm mwaka 2007 nilikuwa na milion 2 na nilikuwa naanza chuo..nilisikia hyo inshu ya miti na nikaizika huo milioni 2..nikapata ekari 6...miti ilikuwa ya mwaka 1..sasa huu ni mwaka gani?miti ina miaka 10 sa hv..bado 2 years nivune mamilion kwa milion 2 tu....HELA INAUMA SANA UKIITOA KWA MPIGO...ILA IKISHATOKA IMETOKA...we kma unataka mafanikio ya SHORTCUT sahau kwa hyo milion 3
Mwelekeze tuUngekuwa dar ningekuelekeza biashara faida tungegawana na mchanganuo wake sio kwa kuandika ni kwa vitendo pakununulia mpaka pakuuza
Huwez fanya business yoyote ukiwa mbali na ikaenda vzur, otherwise utapata khasara, tafta mtu mwaminifu mwenye kuweza kusimamia wkat bado Upo chuo, Au usubiri mpka utakapomaliza chuo,
Bintishomvi mie nipo Dar leta huo mchanganuo tutoke wote.Ungekuwa dar ningekuelekeza biashara faida tungegawana na mchanganuo wake sio kwa kuandika ni kwa vitendo pakununulia mpaka pakuuza
inamfaa manake yeye bado yupo shule.Iyo ni biashara ya muda mrefu zaidi ya miaka 10 na kuendelea