Mtaji million sitini(60,000,000) biashara gani?

@prime dynamics, u must be talking about the Nairobi stock exchange because unless you can prove me wrong the DSE ( dsm stock market) is not that competitive across east Africa, so no share price fluctuation for a fact. well, since were talking about buying and selling of shares why not make an investment in the new York stock market or the ever changing London stock market if you dare. It all depends on your appetite for risk, u might as well consider the FOREX market, its a very lucrative market so far the world has ever seen.
 
Reactions: 911
Kwa mtindo huo kaka kazi unayo!
Ugumu unakuja kwa sababu unatakiwa kubuni biashara MPYA na ikuletee kipato kischopungua 150,000 kwa siku! Ziko biashara nyingi ambazo zinaweza kukuingizia pesa nyingi na ukalilpa deni na kubaki na faida kubwa sana hata ndani ya miezi michache, tatizo ni kwamba You risk loosing everything! Mimi nakushauri utafute biashara ambayo itaanza kukuingizia faida MARA MOJA. Unaweza kununua used computers kutoka UK na kupeleka mikoani/kwa hili utahitaji mtaji mkubwa zaidi kama unachukua container nzima. Rahisi zaidi unaweza kuongea na wasomali wanaoziingiza ukanunua kwa bei ya jumla, unaweza kununua mzigo wa millioni 30, ukiuza unapata faida ya zaidi ya 20M! Huku mikoani wateja wa bidhaa hiyo wako wengi sana, PC ambayo unanunua 140000 dar utaiuza 250000 bei ya fastafasta mkoa!! Kuna mdogo wangu anafanya biashar hii na inamlipa ssana, kama uko interested sema nikuunganishe nae. Ingekuwa pesa yako mwenyewe tungeongea mambo ya uzalishaji, haya faida yake inachukua muda lakini faida ni kubwa mno.
 
Reactions: 911
Kama unaweza fanya research moja...tafuta gari 2 tanker za kuuza maji safi...kila moja inakuletea 100,000 per day.nenda zbar kazitafute utapata hata kwa 28m tani 4 zile fuso zinakutosha .....ukishindwa kabisa nunua canter 4....nazo zitakupa 200,000 kwa siku!!!all the best
 
Kama unaweza fanya research moja...tafuta gari 2 tanker za kuuza maji safi...kila moja inakuletea 100,000 per day.nenda zbar kazitafute utapata hata kwa 28m tani 4 zile fuso zinakutosha .....ukishindwa kabisa nunua canter 4....nazo zitakupa 200,000 kwa siku!!!all the best
 
...Kuna mdogo wangu anafanya biashar hii na inamlipa ssana, kama uko interested sema nikuunganishe nae.
Mkubwa, mdogo wako atakuwa competitor wake, sasa ukiwaunganishia itamsaidia vipi, au mnataka ku weaken business strategy zake? Hapo kuna enormous conflict of interests at play. I don't get.
 
Mkubwa, mdogo wako atakuwa competitor wake, sasa ukiwaunganishia itamsaidia vipi, au mnataka ku weaken business strategy zake? Hapo kuna enormous conflict of interests at play. I don't get.
Ni kweli mkuu, lakini Tanzania ni kubwa mno, mfanyabiashara haogopi competition! Mdogo wangu na yeye alipewa hiyo idea na mtu anayefanya kazi hizo, akaoneshwa mpaka sehem za kununua hzo PC!!!!! Kama unafanya biashara utakubaliana na mimi kuwa kabla haujajiingiza katika biashara yoyoteni muhimu ukaongea na watu wanaofanya biashara hiyo. Demand ya computer ni kubwa mno kuliko uwezo wa wafanyabiashara kuingiza nchini, usiogope kaka, mimi nafanya biashara ya ufugaji, kama na wewe unapenda kufanya biashara hii tuwasiliane.
 
Reactions: 911

salute mkuu! uko juu
 
Nakuomba kwanza katika hiyo 60m uende kujenga nyumba nyingine kwanza halafu pesa ikibaki anzisha biashara.....hii ni kwasababu naona utaweka hii pesa kwa biashara na biashara itaanguka halafu watakuja piga mnada nyumba na mwisho utakosa vyote uishie kuugua na mawazo (stress)
 

This is VERY FUNNY na usipo angalia ndugu utakuja kuingia chaka vibaya uje kulia kilio cha mbwa nyumba ikipigwa mnada hiyo ......yan unachukua mkopo alaf ndo unatafuta business idea??? Ur not SERIOUS at all. Mi nlifkiri mpaka unachkua huo mkopo u had every thing planned, ume analyse the market na tayari una business plan na return yake itakavyokua ??? angalia sana kaka..... ilitakiwa wewe ukishapewa mkopo right away unaanza kazi ukijua nn unafanya.....Yangu macho !!!!
 

please naomba contacts ya ndugu yako.
 
Hivi benki wanakupaje mkopo kabla ya kujua biashara unayoenda kuifanya?
 

Ukweli mkuu,si unajua wengine wanajifanya wakali kwenye mahesabu kumbe makanjanja!!!
 

Mkuu unaweza kuwa more in details ili tukaelewa vizuri??I mean hayo maji yatauzika wapi yaani dar au mkoani au zanzibar au wapi??na vile vile na hizo Canter 4 na zenyewe ni vipi hasa??zitatumika kwa ajili ya maji au??
 
NIPO KWENYE BIASHARA YA KUKOPESHA , INALIPA SANA unakuwa na kaofisi chako cha kukopesha mikopo midomidogo na mwisho wa wiki unakusanja fedha yako na kaRiba kadogo, kama utaifanya vizuri itakulipa sana, kama unaweza kuifanya kwa riba ndogo ni ukweli usiopingika kuwa utapata wateja wengi sana, ,

inahitaji vibali vya microfinance, leseni ya biashara, TIN number, na software ya kuendesha biashara. nipo kwenye biashara hii, inalipa, tunaweza kuform joint venture. tuwasiliane 0767102102
 

this is one of the best business ideas.
 
Kwa kweli hii ni tamaa au ni nini

yaani unaenda kukopa huna ida ya unachotaka kufanya, labda n abusiness plan hauna. yaani unatafuta kutajirika haraka bila mpengo kabisa.

kama ulivyoshauriwa ukidharau shauri yako anza kutafuta nyumba ya kupanga labda ya laki moja lwa mwaka maana ukiingia kihivi hivi na kuchukua mkopo utalia tuuu

kuwa mwangalifu
 
You must start with the business idea first before acquiring finance..I like the idea of' information centre'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…