both teams to score-YES
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 974
- 1,876
Wakuu habari zenu, nahitaji kufungua movie library, nahitaji mawazo yenu kuhusu mtaji, vifaa vya kununua pamoja na Kompyuta ya aina gani itayofaa kwa matumizi hayo.
Asante.
Asante.