Mtaji wa 1million,naweza kufanya biashara gani?

Isyaaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
274
Reaction score
62
Wapendwa kwa mtaji wa 1m, naweza fanya biashara gani? Nathamini mawazo yenu.
 
Du mdogo wangu ningelikuona ningekushauri au kukupa angalau heka 2 uweze kulima tikiti maji napenda sana mjasiriamali.
 
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 26, nimemaliza chuo mwaka jana, Diploma of logistics and transport management, NIT. so kutokana na ugumu wa ajira nawaza kujiendeleza japo kibiashara na mtaji ambao naweza kuwa nao ndio huo hapo juu. Asanteni kwa mawazo yenu ntayafanyia kazi, na naendelea kupokea msaada wenu wa mawazo zaidi.
 
Kuna jamaa katoa wazo la biashara ya asali ila hana mtaji. Wazo lake bomba sana unaweza kuupitia hapo juu uone kama unaweza fanya
 
Kuna jamaa katoa wazo la biashara ya asali ila hana mtaji. Wazo lake bomba sana unaweza kuupitia hapo juu uone kama unaweza fanya[/QU Asante Deo kwa wazo lako,let me go through that.
 
Dada mm nakushaur anzisha ufugaj w kuku wa kisasa utatoka
 
Investment idea:subir Mda wa mavuno ukifika nunua maindi gunia kadhaa Keisha hifadh kweny mapipa then subir bei ipande uuze...utapata return nzur sana ila u have to be patient
 
Kama unaweza kusafili kachukue magimbi kisha lete dar soko lipo zuri kwa kipindi hiki ambapo maindi yapo juu na mchele auna soko zuri,Mi nachukuwa mlimba naleta hapa dar karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…