Hiyo ni pesa mbuzi kwa biashara kwa mtu mwenye Masters, itoe tu sadaka kanisani au msikitini, mungu atakuongezea maradufu.
Mawazo mgando hayo...APPLE Technologies alianzia harakati za biashara yake kwenye gereji ya rafikiye... leo hii anavuna mpaka asikopanda.. kumbuka jamaa anaomba mawazo zaidi.. tayari ana bucha inayojiendesha..!!Hiyo ni pesa mbuzi kwa biashara kwa mtu mwenye Masters, ...
Mkuu,unamiliki bucha,unaishi Dar,umesoma mpaka Masters,unasema utasimamia mwenyewe,Duh! sasa ktk SWOT ya fasta fasta tayari umeshashinda,wewe ni kufanya foward intergration tu,au backward int.kutegemea upo confortable na kipi,
nakushauri ununue mashine ndogo ya kutengeneza sosegi, chukua mabaki yako ya buchani tengeneza sosegi kama ulaya,tafuta kijana afanye usambazaji ,au tumia vijana wanaopita mtaani na ktk bar za dar wakiuza sosegi za Farmers Choice, nawe tengeneza brand yako kama hiyo ,tumia rangi za hivyo hivyo,ila jina tu liwe kama hilo tu. eg Farmers choices,Farmers sausege, au Farmers Sosegi,au Farm Choice,au Best Choice,ila kumbuka rangi na nembo yako vifananefanane na farmers choice,
hiyo wanaita brand extension e.g Azam cola ,badala ya Cocacola
this link itakupa all the details about how to start to make your own brand sausages
Sausagemaking.co.uk
bei za machine zinaanzia laki3 tu
http://www.designasausage.com/pages/prods.asp?catid= 1&subcatid=32
fanya biashara ya ng'ombe.utamnunua kanda ya ziwa kwa laki tatu akifka pugu unauza jwa laki hadi saba.usafiri unakodi fuso haizidi laki sita hadi dar
Mkuu kinachomatter ni attitude yako. Wengi tulianza harakati na fedha kama hizo na wengine chini yapo.
Kabla sijaenda mbali, naomba nikuulize swali, umeshafikiria kuteam up na watu kwenye circle yako ili mfanye kitu kimoja as a team?
Okey, tuendelee. Unaweza ukajiunga SACCOS na kwa hiyo 2.5m ukavuta 10m after a month or 3. Chukua 7.4m na 2.6m acha kwenye akaunti yako kwa ajili ya precautionary au marejesho ya miezi mitano ya mwanzo (+ mwezi m1 wa grace period ni miezi 6 hiyo). Hapo utakuwa na mtaji mkubwa kidogo. Wakati huo utakuwa unajenga mtaji mkubwa zaidi tofauti na cash, yaan social capital ambayo itakusaidia baadae kwenye operation zako.
Tafuta biashara ndogo ambayo payback period yake is not more than 6months. E.g M-PESA, Car Wash, kijiwe cha chips, bodaboda 2 etc na take home yake kwa mwezi isiwe chini ya laki 4.
Ukichambua kwa Umakini utagundua kuwa investmest cost ya hiyo miradi hapo juu is not more than 2.4m. Ukiweza hii utakuwa umejihakikishia kurejesha mkopo wako after six months baada ya kurecover investment cost. Wakati unaanza hii hyo 5m ingia nayo kwenye money lending business kwa interest ya 10%
Ukiweza kufanya hv, tengeneza business systems nzuri ili udelegate operation za hyo biashara ndogo kwa mtu mwingine halafu wewe concentrate kwenye "money lending business". After 6months utakuwa na capital isiyopungua 11M. Out of 11m, profit yako itakuwa 1.1m kwa mwezi, na profit margin itazidi kupanda kama utakuwa unafanya reinvestment. After a year utanitafuta ukiwa na wazo la kuanzisha microfinance company.
Challenge ni kwamba.
1. Sio Saccos zote unaweza kwenda wakakupa 10m kwa mara ya kwanza kwan wengine watataka uanzie from stage 1 (not more than 1), stage 2, stage 3, na ukifika stage 4 ndio 10m or above
2. Wengine wanataka uwe member kwa miezi 3 au sita ndio ukope.
But kizuri ni kwamba wapo wanaotoa kama nilivyoeleza hapo juu. Nashindwa kukupa list kwan sijui upo mkoa gani. I've been there, i have done that.

acha fuso,miaka hiyo ya 2010 nilikua naeza kupakia mzigo wa tani 20 kwenye semi trail kwa hiyo laki sita kutoka kanda ya ziwa to dar.kwabei ya 30,000 kwa tani moja.kwasasa sijui ila bei huwa haibadiliki sana.kwani mafuso na semi nyingi hupeleka mzigo wa madukani kanda ya ziwa na wakati wa kurudi dar unakuta asipopata mzigo anarudi tupu,kitu ambacho kwa transporter ni hasara,kwani anatumia mafuta.Kanda ya ziwa gan wanakouza cow lak 3 mzee? na fuso lak 6 mpk dar? sidhani asee
Hakuna kitu kipya zaidi nikuangalia wengine wanafanya nini na wewe unawezaje kufanya tofauti na wengine kisha anza kufanya kwa kuonyesha tofauti.All the best.Wakuu msaada, najua kuna vichwa humu, naombeni msaada wa biashara gani nifanye, nina capital ya 2.5m/-.
Asanteni
Mkuu kinachomatter ni attitude yako. Wengi tulianza harakati na fedha kama hizo na wengine chini yapo.
Kabla sijaenda mbali, naomba nikuulize swali, umeshafikiria kuteam up na watu kwenye circle yako ili mfanye kitu kimoja as a team?
Okey, tuendelee. Unaweza ukajiunga SACCOS na kwa hiyo 2.5m ukavuta 10m after a month or 3. Chukua 7.4m na 2.6m acha kwenye akaunti yako kwa ajili ya precautionary au marejesho ya miezi mitano ya mwanzo (+ mwezi m1 wa grace period ni miezi 6 hiyo). Hapo utakuwa na mtaji mkubwa kidogo. Wakati huo utakuwa unajenga mtaji mkubwa zaidi tofauti na cash, yaan social capital ambayo itakusaidia baadae kwenye operation zako.
Tafuta biashara ndogo ambayo payback period yake is not more than 6months. E.g M-PESA, Car Wash, kijiwe cha chips, bodaboda 2 etc na take home yake kwa mwezi isiwe chini ya laki 4.
Ukichambua kwa Umakini utagundua kuwa investmest cost ya hiyo miradi hapo juu is not more than 2.4m. Ukiweza hii utakuwa umejihakikishia kurejesha mkopo wako after six months baada ya kurecover investment cost. Wakati unaanza hii hyo 5m ingia nayo kwenye money lending business kwa interest ya 10%
Ukiweza kufanya hv, tengeneza business systems nzuri ili udelegate operation za hyo biashara ndogo kwa mtu mwingine halafu wewe concentrate kwenye "money lending business". After 6months utakuwa na capital isiyopungua 11M. Out of 11m, profit yako itakuwa 1.1m kwa mwezi, na profit margin itazidi kupanda kama utakuwa unafanya reinvestment. After a year utanitafuta ukiwa na wazo la kuanzisha microfinance company.
Challenge ni kwamba.
1. Sio Saccos zote unaweza kwenda wakakupa 10m kwa mara ya kwanza kwan wengine watataka uanzie from stage 1 (not more than 1), stage 2, stage 3, na ukifika stage 4 ndio 10m or above
2. Wengine wanataka uwe member kwa miezi 3 au sita ndio ukope.
But kizuri ni kwamba wapo wanaotoa kama nilivyoeleza hapo juu. Nashindwa kukupa list kwan sijui upo mkoa gani. I've been there, i have done that.
Mkuu kinachomatter ni attitude yako. Wengi tulianza harakati na fedha kama hizo na wengine chini yapo.
Kabla sijaenda mbali, naomba nikuulize swali, umeshafikiria kuteam up na watu kwenye circle yako ili mfanye kitu kimoja as a team?
Okey, tuendelee. Unaweza ukajiunga SACCOS na kwa hiyo 2.5m ukavuta 10m after a month or 3. Chukua 7.4m na 2.6m acha kwenye akaunti yako kwa ajili ya precautionary au marejesho ya miezi mitano ya mwanzo (+ mwezi m1 wa grace period ni miezi 6 hiyo). Hapo utakuwa na mtaji mkubwa kidogo. Wakati huo utakuwa unajenga mtaji mkubwa zaidi tofauti na cash, yaan social capital ambayo itakusaidia baadae kwenye operation zako.
Tafuta biashara ndogo ambayo payback period yake is not more than 6months. E.g M-PESA, Car Wash, kijiwe cha chips, bodaboda 2 etc na take home yake kwa mwezi isiwe chini ya laki 4.
Ukichambua kwa Umakini utagundua kuwa investmest cost ya hiyo miradi hapo juu is not more than 2.4m. Ukiweza hii utakuwa umejihakikishia kurejesha mkopo wako after six months baada ya kurecover investment cost. Wakati unaanza hii hyo 5m ingia nayo kwenye money lending business kwa interest ya 10%
Ukiweza kufanya hv, tengeneza business systems nzuri ili udelegate operation za hyo biashara ndogo kwa mtu mwingine halafu wewe concentrate kwenye "money lending business". After 6months utakuwa na capital isiyopungua 11M. Out of 11m, profit yako itakuwa 1.1m kwa mwezi, na profit margin itazidi kupanda kama utakuwa unafanya reinvestment. After a year utanitafuta ukiwa na wazo la kuanzisha microfinance company.
Challenge ni kwamba.
1. Sio Saccos zote unaweza kwenda wakakupa 10m kwa mara ya kwanza kwan wengine watataka uanzie from stage 1 (not more than 1), stage 2, stage 3, na ukifika stage 4 ndio 10m or above
2. Wengine wanataka uwe member kwa miezi 3 au sita ndio ukope.
But kizuri ni kwamba wapo wanaotoa kama nilivyoeleza hapo juu. Nashindwa kukupa list kwan sijui upo mkoa gani. I've been there, i have done that.
mkuu nipo interested but ningeomba mchanganuo hiyo 2.5 inavofika 10Nipm kama utakuwa interested na biashara ya kulima matikiti maji,nina eneo hapo kigamboni ukiweka m2.5 ndani ya mwaka nitakupa m10