Hahaha hapana kaka bali ni mhitimu wa chuo kikuu na ni Business Administrator by profession niliebobea katika masuala ya ugavi.
Haah! mbona kama umeona hatari hivyo, usihofu ilikuwa ni kama workshop juu ya maswala ya ujasiria mali sasa ulivyotaja S.W.O.T. nikafikiri ulipitia hizo modules za ILO.
Ila hongera kwa kubobea kwenye maswala ya Uchumi nakushauri ufanye juhudi at least 70% ya uchumi wa taifa wahodhi wazawa.
Dah wazo zuri sana hili mkuu...vipi kuhusu masoko? Na vipi kuhusu risk ya kuharibika wakati unasubiri kuuza, hizi changamoto waweza deal nazo vipi?