Mtaji wa 30m

mzurisana

Senior Member
Joined
Jun 23, 2011
Posts
133
Reaction score
27
ni mara yng ya kwanza kupitia hili jukwaa na kupost , ila leo nimepitia post kadhaa humu ndani na kusoma comments, inshort me nna mtaji wa milion 30 , ila cjajua niufanyie biashara gani naomba ushauri mwenzenu
 
Kajirushe 30m ndogo sana
 
ni mara yng ya kwanza kupitia hili jukwaa na kupost , ila leo nimepitia post kadhaa humu ndani na kusoma comments, inshort me nna mtaji wa milion 30 , ila cjajua niufanyie biashara gani naomba ushauri mwenzenu

Duuuuuuh.....kwani mpaka umeipata hiyo 30ml ulikua unafanya nini mkuu,..!..just curious to know.
 
Upo mkoa gani?kwani hii inaweza kusaidia kukupa ushauri.
 
Duuuuuuh.....kwani mpaka umeipata hiyo 30ml ulikua unafanya nini mkuu,..!..just curious to know.
Actually cio zangu , ni ndugu yng anatoka nje kuja tz kujarb maisha as anasema nje maisha yamezidi kuwa ghali bt kwa tz 30m she can do something so mie ndo wa kumshauri kuusu biashara ya kufanya ndo nimeleta hapa ila kupunguza wingi wa story ndo maana nikasema tuu simply mtaji uliopo
 
biashara hua sio tu fulani akwambie nn ufanye lkwanza zingatia ujuzi, aina ya biashara yako na wateja wa biashara hiyo. milion 30 ni nyingi sana kama akili ikitulia
 
Asubiri June aende Dodoma akanunue kunde na dengu.....ahifadhi kwa miezi 6 hivi auze atapata mara 2 ya hizo pesa...maana hazina pressure kabisa na pesa zinarudi...bila shida wala pressure
 
Mwambie anunue pikipiki 12. kwa sh. mil 24 (mil 2 X 12)

Pesa inayobaki (mil. 6) aweke akiba just in case of emergency. Wakati huohuo aanze kujifunza kuhusu spares za pikipiki.

Akizisimamia vizuri hizo pikipiki kila moja kwa wiki itamuingizia si chini ya sh. elfu 35 (35 X 4X 12) ambayo ni sawa na 1.68 mil kwa mwezi. Kwa kadirio la chini ni kipato cha 1.3 mil ya uhakika.

Mwambie ajitahidi kumaintain matumizi yake binafsi within sh. lako tano kwa mwezi.
Hapo ataweza kusave sh. laki nane kwa mwezi.

Kwa mwaka ni sawa na 9.6 mil nest egg.

Katika hii nest egg achukue mil. tano afungue duka dogo la spare za pikipiki ambazo amezifanyia utafiti kwa mwaka mzima.

Mil. 4 aweke kwenye akaunti inayojitegemea na laki 6 atoe sadaka.

Mwaka unaofuata afanye tena hivyohivyo.

Duka la spare aliongezee tena mil. 5 liwe na mtaji wa mil. 10. na 4 mil aongezee kwenye nest egg iwe 8 mil na laki sita atoe sadaka.

Mwaka wa tatu aanze kuuza pikipiki zilizoanza kuchoka na kuzireplace na mpya. Afanye upembuzi yakinifu ili kuona kama inalipa kuiuza pikipiki yote au kuuza spares zake moja moja.

Baada ya miaka mitatu atakuwa very busy na atakuwa mwalimu wa ujasiriamali kwa wengine.

Mil. 30 ni mtaji mkubwa kwa mtu mwenye muda na ari ya ujasiriamali...
 
Ni mwanamke ama mwanaume?
Na yeye alienda kusomea nini hukko?
 
usikubali kwenda PM .... hapa hapa tutakupa maujanja ya biz idea .... nisubiri nitarudi .... free advice, no advance fee
 
Umenena vema mkuu.....
 
biashara hua sio tu fulani akwambie nn ufanye lkwanza zingatia ujuzi, aina ya biashara yako na wateja wa biashara hiyo. milion 30 ni nyingi sana kama akili ikitulia
Ila kuomba ushauri napo sio mbaya
 
Asubiri June aende Dodoma akanunue kunde na dengu.....ahifadhi kwa miezi 6 hivi auze atapata mara 2 ya hizo pesa...maana hazina pressure kabisa na pesa zinarudi...bila shida wala pressure
Ushauri mzuri ila kusubiri miez sita ni mingi sn
 
ushauri mzuri nimeupenda
 
Character yake ni ipi? Ni mpole?mkorofi ama mkali,?coz pikipiki halafu aifanye binti atakuwa analizwa kila siku ataambiwa tumeshikwa na trafiki,,ama iliharibika ela ikaenda kwa fundi etc
kama binti ni choleric anaweza himili mchakamchaka,by the way akija aangalie opportunities,vitu alivyoviona vinafanyika huko na huku havipo ama vinafanyika tofauti inabidi alete difference ama ladha huku sio mtu ameishi marekani miaka 10 halafu aje kufungua mpesa ama kuuza vocha,ama duka la rejareja badala ya kuleta idea ya superstore.mwambie asome opportunity za huku akija ndio atajua pa kuanzia

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…