Mtaji wa 800,000/- unaweza kukutoa kimaisha

mwakabhuta

Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
17
Reaction score
9
Nahitaji mtu wa kuingia ubia katika biashara nzuri sana inayohusu bidhaa maridadi kutoka Marekani. Mtaji anaotakiwa kuwa nao "m-bia" huyu ni kama 800,000/- (au zaidi) na awe tayari kujifunza, mwenye mawazo chanya na anaweza kushindana na vikwazo.

Biashara hii itaweza kukuzalishia 3,000,000/- (na zaidi) kama faida yako kila mwezi baada ya miezi sita tu kwenye biashara hata kama unaifanya part-time.

Kwa maelezo zaidi nitafute kwa namba +255-717-743560 (kwa wanaomaanisha sio kupotezeana wakati)
 
Mweeee laki nane 2 milioni 3 mbona kila mtu angeikimbilia hembu funguka watu waje kuwekeza manake vichwa vinauma kwa hizi biashara za kukabana koo na t.r.a
 
hili ni jukwaa la ujasiriamali na lengo ni kubadilishana mawazo,mi nadhani kama ni wazo zuri na umeamua kutushirikisha hakuna haja ya kupiga simu.Iweke hapa tubadilishane mawazo,kwani ni siri?
 
Weka wazi kuhusu hiyo fursa,mambo ya PM/kupigiana simu ni kupotezeana muda,haya mambo ya PM PM na biashara za ujanja ujanja tuma pesa nikutumie kuku kwenye basi ndio wanalizwa watu daily hapa.Hapa tunapeana mbinu/changamoto/fursa za kujikwamua kwa uwazi kabisa ili kuondokana na tatizo la kiuchumi,sasa mambo ya siri siri ya kukutana PM ni kupotezeana muda.
 
Forever living tu hawana lolote
 
swali langu kwa watu wa network marketing hasa hasa forever living,ni kwanini mnashindwa kuwa wawazi na biashara zenu kama zinafuata misingi yote ya uhalali?kwa tafsiri yangu cash flow na demand ya bidhaa zenu kwa soko,maana kama biashara zenu zina faida kama mnavyojinadi haina haja kuwa wasiri fungukeni tu,msiwe kama wauza unga,pili kama products zenu zina manufaa kwa watumiaji,fungukeni watu watanunua tu haina haja ya kutanguliza mikwara,mara ooh,kampuni ya kimarekani inatoa fursa za ajira,mara biashara yenye faida,mara bidhaa za kimarekani,Marekani ina asilimia kubwa ya vichaa wa namna tofauti tofauti,hivyo sio title kubwa kitu kutoka marekani.niwapeni siri moja tu,punguzeni bei za bidhaa zenu ziendane na uhalisia wa maisha,hamlipi kodi wala ada ya manispaa hhaina haja ya kuuza dawa ya meno 10,000/=!
 
Kumshawishi Mtanzania mwenye hali ya chini ama yeyote yule anunue dawa ya meno 10,000/= wakati Whitedent kwa Mangi 1,000/= na ni shida ku_afford si kazi ndogo.
 
Nahitaji mtu wa kuingia ubia katika biashara nzuri sana inayohusu bidhaa maridadi kutoka Marekani. Mtaji anaotakiwa kuwa nao "m-bia" huyu ni kama 800,000/- (au zaidi) na awe tayari kujifunza, mwenye mawazo chanya na anaweza kushindana na vikwazo.

Biashara hii itaweza kukuzalishia 3,000,000/- (na zaidi) kama faida yako kila mwezi baada ya miezi sita tu kwenye biashara hata kama unaifanya part-time.

Kwa maelezo zaidi nitafute kwa namba +255-717-743560 (kwa wanaomaanisha sio kupotezeana wakati)

hivi hamuwezi kuishi bila kuwa danganya na kuwatapeli watanzania? mi mna nikera kweli nyie watu na hizi network marketing mna wasumbua sana vijana wetu.
 
Haya ni majambazi makubwa! Serikali inawalea sana ni wakati serikali kuonyesha meno yake. Foreverliving ni janga la vijana wanaowekeza huko. Mkiingia 18 zangu mmekwisha!!
 
swali langu kwa watu wa network marketing hasa hasa forever living,ni kwanini mnashindwa kuwa wawazi na biashara zenu kama zinafuata misingi yote ya uhalali?kwa tafsiri yangu cash flow na demand ya bidhaa zenu kwa soko,maana kama biashara zenu zina faida kama mnavyojinadi haina haja kuwa wasiri fungukeni tu,msiwe kama wauza unga,pili kama products zenu zina manufaa kwa watumiaji,fungukeni watu watanunua tu haina haja ya kutanguliza mikwara,mara ooh,kampuni ya kimarekani inatoa fursa za ajira,mara biashara yenye faida,mara bidhaa za kimarekani,Marekani ina asilimia kubwa ya vichaa wa namna tofauti tofauti,hivyo sio title kubwa kitu kutoka marekani.niwapeni siri moja tu,punguzeni bei za bidhaa zenu ziendane na uhalisia wa maisha,hamlipi kodi wala ada ya manispaa hhaina haja ya kuuza dawa ya meno 10,000/=!
Mawazo mgando ni sumu inayomaliza vijana wengi sana hasa hapa tz, ww unayetokwa povu kusema kuwa kampun hailip kod hebu ingia kwny website ya TRA angalia FLP ni kampun ya ngap kwa ulipaj kod, tunahtaj arguments with facts na co kutokwa povu hapa. Cha ajabu dawa kuuzwa elfu10 ni nin?????ni mara ngap wa2 wanaenda kutibiwa hosp private na wakat govnt zpo???? C ni kwa sababu they r seeking wat is best. Km huwez kununua hyo ya elfu10 thn ts fyn endelea kutumikia floride cancer na waache wenzio wanaojua wat thy r doing waendelee kufanya yao. Period!
 
Mtu akikucrash inaita mawazo mgando?
Let me ask u kama kweli mnalipa kodi niambie mnalipaje ?
Kama kweli mnalipa kodi kulikua na haja gani ya kutuambia tuende tra au kwemye site yao wakatu unge"screan shot" na kuwaumbua watu?
We both knw how foreva living works bana wala usitufanye washamva ndugu
Usitumie nguvu nyingi sana kutetea hayo maisha ya kubahatisha hayo
So stupid
 
Hah hah hah mmegusa mpaka mwanaforever kajitokeza kweli sindano ikiingia mahala pake ukelele lazima utoke
 
Back
Top Bottom