habarini . Nahitaji kiasi cha laki nne (400,000) . kwa ajili ya kuongezea kufikia mtaji ambao utaweza kuanzishia biashara ninayohitaji kuifanya hivyo basi ,nina photocopy mashine (canon NP1215) ambayo naiuza na lengo ni kufikia mtaji ambao imebakia laki nne ili niweze kuanzisha biashara hiyo . kwa anayehitaji mashine hiyo basi ani anitafute kwa namba 0714890018.