Kama unajua kweli ya biashara ya nicheki,kuna brother anakuja la jumla la simu,ukifanya naye biashara zaidi na ukawa mwamini,unaanza kukopeshwa ikiuza inapeleka.kuwa makini wengine matapeli,bora nikuunganishe nae unaenda dukani kwake kabisa nafanya nae biashara,ukianzia milion 15 unajumuisha na vitu vinginevyo kama makava ya simu,memory,trash,betri,nk