Uni mwanitu
Senior Member
- Oct 25, 2014
- 198
- 55
Habari wadau mie nina biashara ya pembejeo za kilimo sasa changamoto ni mtaji mdogo kuliko mahitaji ya Wateja wangu. Naweza pata mtu au taasisi wa kuniinua kwa mtaji wa fedha au bidhaa za dukani au anae weza kua mdau tufanye biashara pamoja (partner) ili kukidhi soko.? Msaada alie tayari Tuwasiriane pm. Ahsante