Mtaji wa biashara

Uni mwanitu

Senior Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
198
Reaction score
55
Habari wadau mie nina biashara ya pembejeo za kilimo sasa changamoto ni mtaji mdogo kuliko mahitaji ya Wateja wangu. Naweza pata mtu au taasisi wa kuniinua kwa mtaji wa fedha au bidhaa za dukani au anae weza kua mdau tufanye biashara pamoja (partner) ili kukidhi soko.? Msaada alie tayari Tuwasiriane pm. Ahsante
 
n vzuri ukaeleza vzuri jins soko lilivo yaan namna unavonunua bidhaa..kuuza mpaka kuja kupata faida ili mtu ajue anaenda kuwekeza ktk biashara ya namna gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…