Wanabodi, umefia kwenu!
Shughuli pevu kwenye uwekezaji ni namna ya kuwa na fedha za kuanzia biashara...
Watu wana mipango mingi sana, mawazo mengi sana lakini hawana cash ya kuanza biashara au shughuli yoyote ya kiuchumi.
Nini mawazo yetu ndugu zangu?