Mtaji wa kufungua car wash

Mtaji wa kufungua car wash

jeff09

Senior Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
178
Reaction score
83
wakuu habari! Nina wazo la kufungua biashara ya kuosha magari apa dar,je natakiwa niwe na mtaji kama kiasi gani ili niweze fungua medium class carwash. Nawasilisha wadau
 
Back
Top Bottom