Mtaji wa kufungua kiwanda cha kutengeneza mfuko mbadala ni kiasi gani?

uhuru tech

Member
Joined
Apr 16, 2017
Posts
48
Reaction score
52
Wakuu habari,
wakubwa naomba kujua ni kiasi (amount )gani inatakiwa kwenye kuanzisha kiwanda cha kutengeneza mfuko mbadala.hii ya kisasa ambao imechukua nafasi ya rambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…