Mtaji wa laki 4

Madoso12

Member
Joined
Jul 26, 2018
Posts
11
Reaction score
1
Habari ndugu wana JF naombeni mawazo yenu Nina laki 4 Nina hitaji kufanya biashara he nitafafanya biashara gan yenye kuhitaji kianzio cha kiasi hicho
 
Mkuu...angalia biashara ya viatu vya kike inalipa sana....mm nilifanya kwa kianzio cha 210000 tu....nunua town au dsm kwa bei rahis then ukifika huko unapiga pesa mara mbili...trust me
 
Mkuu...angalia biashara ya viatu vya kike inalipa sana....mm nilifanya kwa kianzio cha 210000 tu....nunua town au dsm kwa bei rahis then ukifika huko unapiga pesa mara mbili...trust me
Sawa mkuu
 
Wengine wanaomba ushauri kutokana na mtaji waliyokuwa nao. Wengine tuna stress za makazini. Sina mzuka kabisa wa kufanya kazi ijapokuwa nipo kazini.
Pole sana ndugu mini tatizo
 
Pole sana ndugu mini tatizo
Ndugu yangu we acha tu! Kuna documents nilikuwa nazo ni za kiserikali, kuna baadhi sikumbuki nilipoziweka nakaandaa tena kwenye kuziandika data zilezile hakuna hata kilichopikwa. Shughuli imekuwa kwenye kusainiwa, zimekataliwa bhana. Na documents zenyewe nyeti. Director naye hanielewi anaona nimeleta matatizo.
 
Umuhimu wako Leo wote unapotea. Wanakuona umeleta matatizo.
 
Pole sana bro
Naona lawama zinakuja nyingi, na mimi nimewapasulia ukweli tu nimeona liwalo na liwe na leo nitaondoka mapema sana. Nime waambia records zipo njooni mzikague kama nimepika data. Wananipa vitisho nimewaangalia kwa vile ni wakubwa nimewastahi tu. Kuna kikao wananiwekea Nikishakisikiliza tu nasepa.
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…