Intersting kujua mchanganuo, subiri waje nami nichukue wazo mkuu!Habari ndugu wana JF naombeni mawazo yenu Nina laki 4 Nina hitaji kufanya biashara he nitafafanya biashara gan yenye kuhitaji kianzio cha kiasi hicho
Pole, achana nayo sie tulizikimbia kitambo, ila ujipange!Wengine wanaomba ushauri kutokana na mtaji waliyokuwa nao. Wengine tuna stress za makazini. Sina mzuka kabisa wa kufanya kazi ijapokuwa nipo kazini.
Kwani huko hiyo biashara haikoEneo ulilopo ni muhimu sana kufahamisha watu kabla hawajauliza maswali ya hivyo.
Mtu anaweza kukwambia uuze vibua kumbe uko Paris.
HakipoKibanda cha kupiga picha za passport mtaan hapo kipo?! Kama hakipo changamka
Sehem ganiNiko mbeya kyela
Jitoe muhanga kama vipiWengine wanaomba ushauri kutokana na mtaji waliyokuwa nao. Wengine tuna stress za makazini. Sina mzuka kabisa wa kufanya kazi ijapokuwa nipo kazini.
Namshukuru Mungu nimefanikiwa kuli solve. Kwenye kikao nilibadilika aisee mpaka Mkurugenzi mwenyewe aliogopa, hawakuwahi kuniona nikiwa namna ile. Majibu niliyokuwa nayatoa, japo nilikuwa naenda kwa hoja lakini macho na sura yalikuwa na rangi nyekundu na nilikuwa na hasira na mtu alikuwa akiingia ofisini kwangu leo nilikuwa namwambia sifanyi kazi, ziweke documents hapo ila sizifanyii kazi leo.Jitoe muhanga kama vipi
Pole sana nduguNamshukuru Mungu nimefanikiwa kuli solve. Kwenye kikao nilibadilika aisee mpaka Mkurugenzi mwenyewe aliogopa, hawakuwahi kuniona nikiwa namna ile. Majibu niliyokuwa nayatoa, japo nilikuwa naenda kwa hoja lakini macho na sura yalikuwa na rangi nyekundu na nilikuwa na hasira na mtu alikuwa akiingia ofisini kwangu leo nilikuwa namwambia sifanyi kazi, ziweke documents hapo ila sizifanyii kazi leo.
Ooooh mbeya nunua vifaa vya simu na uza mfano glass protector k/koo 1500 ww unauza 3000 hadi 5000 kama unandugu dar muagizie mzigo akutumieHabari ndugu wana JF naombeni mawazo yenu Nina laki 4 Nina hitaji kufanya biashara he nitafafanya biashara gan yenye kuhitaji kianzio cha kiasi hicho
Hii inategemea na eneo alilopo kama vingunguti machinjioni hakufai biashara hii.Kibanda cha kupiga picha za passport mtaan hapo kipo?! Kama hakipo changamka