Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atapata ugonjwa moyo pale laki tano inayeyuka yoteBeting mkuu.
Yaani hapo unachukua odds 2 tu unatia mzigo wote.
Baada ya dakika 90 unaingiza 1 milion na zaidi.
Kwa ufupi ndani ya dakika 90 unapata faida ya laki tano.
Ingia kwenye waste hakuna hasaraNaomba Ushauri, Na Wazo la biashara ambalo nitakifanya kukuza uchumi binafsi na kipato ili kuwaangalia watu wamuhimu karibu yangu.
Naheshimu wazo Lako lakini hili nasikitika sitoweza kulichukua kwasababu sio tu nitakuz mtaji Bali pia nitaupotezaBeting mkuu.
Yaani hapo unachukua odds 2 tu unatia mzigo wote.
Baada ya dakika 90 unaingiza 1 milion na zaidi.
Kwa ufupi ndani ya dakika 90 unapata faida ya laki tano.
Mayai pia ni rahisi sana kama una uwezo wa kuzama vijijini ndani kabisa.Nashkuru pia Ni Jambo jema_, lakini Changamoto ni eneo_, na nikisem nitafute mpaka kukamilisha itanipasa nianze upya kutafuta kianzio, kwaajili ya kukamilisha nilichokianza
Yaan aingie kwenye uchafuIngia kwenye waste hakuna hasara
Nguli hii imekaaje?Ingia kwenye waste hakuna hasara
Ziko nyingi tu, ili mradi usiwe bishoo wa kuchagua kazi.Hakuna biashara ya shillingi laki 5
Ziko nyingi tu,ili mradi usiwe bishoo wa kuchagua kazi.