Mtaji wa laki 5, Nifanye biashara au shughuli gani ili kuukuza

Z K Ahmad

Member
Joined
Mar 16, 2019
Posts
29
Reaction score
36
Naomba Ushauri na wazo la biashara ambalo nitakifanya kukuza uchumi binafsi na kipato ili kuwaangalia watu wa muhimu karibu yangu.
 
Subscribe signal service kwa Experienced trader, never risk more than 3 percent per trade.

$200 deposit (460,000)
$20 subscription fee (40,000).

Target 25% per week. Average ni 5% per day.

Linawezekana kabisa, muhimu usitumie moyo kufanya decisions, use brain
 
Kilimo cha umwagiliaji kama unapenda na unaeneo zuri.
Nashkuru pia Ni Jambo jema_, lakini Changamoto ni eneo_, na nikisem nitafute mpaka kukamilisha itanipasa nianze upya kutafuta kianzio, kwaajili ya kukamilisha nilichokianza
 
Nashkuru pia Ni Jambo jema_, lakini Changamoto ni eneo_, na nikisem nitafute mpaka kukamilisha itanipasa nianze upya kutafuta kianzio, kwaajili ya kukamilisha nilichokianza
Mayai pia ni rahisi sana kama una uwezo wa kuzama vijijini ndani kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…