M pesa boss utaanza kidogo kidogo, au nguo za mtumba inatosha kbsWadau nipeni mbinu au ushauri ukiwa na laki 5 unaweza fanya kabiashara gani, ikakuingizia vipesa kidogo kuliko mtu kukaa bure kabisa?
Apo kwenye nguo kuwa specific kama ni za wadada au wakakaAhsante mkuu kwa ushauri