Mtaji wa Milion 3 biashara gani nifanye?

Mtaji wa Milion 3 biashara gani nifanye?

  • Tenga m1 nunua mbuz chotara iyo m2 weka akipa toa laki moja kaanga kuku pale banana.....soon unakuwa tajir
Achana na biashara za kibrazamen
😅😅 Nimecheka hapo eti kaanga kuku pale banana unamaanisha Akajipomgeze au?

Na kuhusu kufuga mbuzi hebu nipe elimu hiyo nifahamu na mimi huenda nikaanza hiyo biashara nimeipenda
  • Soko lake yaani wanaoatikana wapi na kwa hyo mil1 unapata wangapi na Soko la kuwauza wakikua?
  • Wanaweza kuzaliana vizuri
 
Tenga m1 nunua mbuz chotara iyo m2 weka akipa toa laki moja kaanga kuku pale banana.....soon unakuwa tajir
Achana na biashara za kibrazamen
Ahsante mkuu hawa mbuzi chotara nawapatia mkoa gani au hapa hapa dar
 
[emoji28][emoji28] Nimecheka hapo eti kaanga kuku pale banana unamaanisha Akajipomgeze au?

Na kuhusu kufuga mbuzi hebu nipe elimu hiyo nifahamu na mimi huenda nikaanza hiyo biashara nimeipenda
  • Soko lake yaani wanaoatikana wapi na kwa hyo mil1 unapata wangapi na Soko la kuwauza wakikua?
  • Wanaweza kuzaliana vizuri
[emoji38][emoji38][emoji38] uweke jiko uuze kuku broiler laki inatosha unakaanga wengi sema umpate mtaalamu wa kukaanga
 
Back
Top Bottom