Mkuu wazo la biashara unatakiwa uwe nalo wewe hapa uje kulitoa ili watu wakukosoe na kukusahihisha lakini hii ya kuomba wazo la biashara ntakupa la kwangu ambalo linaweza kuwa la milioni nne lakini kwa kutumia uwezo wangu naweza kulifanya kwa milioni 2 sawa na kiasi ulicho nacho ambapo wewe lazima itakushinda japo nitakuwa nimekuelekeza kila kitu.
Biashara ni connection hivyo angalia nafasi kuanzia sehemu ulipo hadi ulipo ipatia hiyo milioni 2 angalia nini kinapungua na biashara gani ambayo unaweza kuifanya ikiwa ndani ya uwezo wako mwenyewe sio biashara hata mwenyewe huwezi kuifanya ila kwa vile umeambiwa inafaida ukafanya UTAFELI. Hakuna biashara ya hasara na hakuna biashara ya faida peke yake hivyo uchaguzi ni wako mkuu.
maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kupata wazo la biashara fuatilia machapisho yangu ya nyuma.
mkuu wazo la biashara unatakiwa uwe nalo wewe hapa uje kulitoa ili watu wakukosoe na kukusahihisha lakini hii ya kuomba wazo la biashara ntakupa la kwangu ambalo linaweza kuwa la milioni nne lakini kwa kutumia uwezo wangu naweza kulifanya kwa milioni 2 sawa na kiasi ulicho nacho ambapo wewe lazima itakushinda japo nitakuwa nimekuelekeza kila kitu.
Biashara ni connection hivyo angalia nafasi kuanzia sehemu ulipo hadi ulipo ipatia hiyo milioni 2 angalia nini kinapungua na biashara gani ambayo unaweza kuifanya ikiwa ndani ya uwezo wako mwenyewe sio biashara hata mwenyewe huwezi kuifanya ila kwa vile umeambiwa inafaida ukafanya utafeli. Hakuna biashara ya hasara na hakuna biashara ya faida peke yake hivyo uchaguzi ni wako mkuu.
Maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kupata wazo la biashara fuatilia machapisho yangu ya nyuma.