Nakushauri uwe na mtaji wa wazo ulilofanyia upembuzi kisha pesa hufuata. Je million moja uliyonayo yaweza kufungua duka tu? Hakuna shughuli nyingine? Je maduka mengine yapo na ya nafanya vizuri? Je langu litawazidi waliotangulia ili wateja wasiwe shida? Je bidhaa nitakazo leta ndio hitaji la wateja? Hakuna mwenye bidhaa kama Zangu? Nani atakuwa anauza Dukani? Nani atakuwa anafuata Mali? Nknk