Naomba mawazo yenu wadau mfano ukiwa na mtaji wa million 1 unaweza fanya biashara gani ambayo ikakuingizia kipato kwa hapa Dar. Naomba mawazo yenu kama hautaona ujumbe huu haukufai basi ni bora kuacha kucommment sio lazima. Nawasilisha ndugu zangu.
habari zenu naombeni ushauri kwa mtaji wa 1.5 tzs million naweza kufanya biashara ya aina gani ususani Dar nipo chuo napenda kujishughulisha naombeni mawazo yenu .