Mtaji wa Million 14 unaweza kuanzishia biashara ya magauni ya harusi?

Mtaji wa Million 14 unaweza kuanzishia biashara ya magauni ya harusi?

gjohn

Member
Joined
Oct 29, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Jamani wana Jamii, naombeni ushauri wenu kwa aliye na elimu ya biashara mtaji wa ml.14 unaweza kuanzishia biashara ya magauni ya harusi kuyatoa nchini China na kuleta hapa Tanzania?
 
Ndogo mno, kama ni tofauti na hela ya kodi ya frame huko nyumbani, usafiri, malazi na matumizi mengi, basi pakwanzia ni poa.
 
Hapana cna frame bado ila nilickia naweza pata frame nzuri tu kwa 5mil
 
Hapana cna frame bado ila nilickia naweza pata frame nzuri tu kwa 5mil

Sikushauri sana uingie ktk hiyo biashara sababu ina ushindani mkubwa sana kwa hapa Dar na inahitaji ujenge jina mpk watu wakufahamu itachukua muda bora nguo zingine kwa ujumla pesa inaweza zunguka haraka, lakini kama ni kitu unachokipenda endelea huo mtaji unatosha kwa kuanza na nguo chache.
.
 
Ya napenda sana na nimedhamiria kabisa kitu nachoweza kufanya naweza kujitangaza kwa tv au magazine hata kwa miezi miwili nitajitahid kwan cku zote mwanzo ni mgumu ila kwa baadae unazoea na mambo yanaendelea ni kuwa tu na ujasiri na kuona kila kitu kitakuwa sawa
 
Nimeipenda hii..
Vizuri sana kwani HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA
 
Back
Top Bottom