M miminho Member Joined Feb 15, 2012 Posts 46 Reaction score 7 Apr 11, 2016 #1 Habari ndugu zangu . naomba kujua kwa wenye uzoefu wa biashara, mtaji wa milioni 4 kwa hapa Dar unaweza fanya biashara gani ? Asante.
Habari ndugu zangu . naomba kujua kwa wenye uzoefu wa biashara, mtaji wa milioni 4 kwa hapa Dar unaweza fanya biashara gani ? Asante.
S shaurimbaya JF-Expert Member Joined Oct 3, 2013 Posts 1,915 Reaction score 2,329 Apr 11, 2016 #2 jitahidi ufanye biashara ya vitu vya lazima kwa binadamu...kama chakula, malazi na mavazi kidogo... hela ngumu nowdays watu hawanunui vitu vya anasa sana
jitahidi ufanye biashara ya vitu vya lazima kwa binadamu...kama chakula, malazi na mavazi kidogo... hela ngumu nowdays watu hawanunui vitu vya anasa sana
M miminho Member Joined Feb 15, 2012 Posts 46 Reaction score 7 Apr 11, 2016 Thread starter #3 Asante sana mkuu kwa wazo zuri