HarusiYetu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 458
- 10
Wadau naombeni ushauri kwani nina mtaji wa milioni kumi ila tatizo mimi ni mwajiriwa na nipo kwenye position yakusafiri safiri sana kuhudumia mikoa kkumi ila makao makuu yapo arusha na hivyo mda mwingi nakuwa nasafiri na narudi kwenye mikoa ya manyara,arusha na kilimanjaro.
Nafikiria mradi,au biashara yakufanya na hizi milioni kumi ambazo nimezipata ofisini kama mkopo.
Ahsanteni
Nafikiria mradi,au biashara yakufanya na hizi milioni kumi ambazo nimezipata ofisini kama mkopo.
Ahsanteni