Mtaji wa millioni 10

Mtaji wa millioni 10

majid musisi

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
184
Reaction score
36
Habari wana jamvi natumai mu wazima wa afya, Naombeni msaada wenu nategemea kupata pesa kama ml.10.
Je? mnanishauri nifanye biashara gani hapa Dar au around mkoa wa Pwani?
Natanguliza shukrani zenu.
 
Kuna topic ya mambo ya bustani hapa kwenye jukwaa inaitwa WAJASIRIAMALI GREENHOUSE KWA UWEZO WAKO. ipo page hii ya jukwaa hebu soma then urudi!
 
Poa nimeiona ntajaribu kuifanyia uchunguzi zaidi na kuifanyia kazi.shukrani bugorobi.
 
Asante kwa mrejesho, umekumbuka kupeleka fungu la kumi la mapato yako kwa Yatima?

Mkuu Malila....heshima mbele!.....kutimiza wajibu wangu kwa Yatima nilianza tangu nilipoanza kupata kipato cha jasho langu,.........wako niliowasomesha na wamemaliza Chuo Kikuu na wanajitegemea......."mwenzio naitwa Babu sasa hivi"........wengine bado wako mashuleni, na vyuoni......hii miradi imeongeza gawio sio kwa Yatima pekee bali hata Sadaka kwa Mola wetu.......Asante sana kwa ujumbe......
 
Safi mkuu,

Natamani sana kuona walau mtu mmoja anaiona siku njema walau mara moja kwa mwezi kwa mimi kutenda yanipasayo kama unavyofanya wewe. Be blessed mkuu.
 
Back
Top Bottom