majid musisi
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 184
- 36
Habari wana jamvi natumai mu wazima wa afya, Naombeni msaada wenu nategemea kupata pesa kama ml.10.
Je? mnanishauri nifanye biashara gani hapa Dar au around mkoa wa Pwani?
Natanguliza shukrani zenu.
Habari wana jamvi natumai mu wazima wa afya, Naombeni msaada wenu nategemea kupata pesa kama ml.10.
Je? mnanishauri nifanye biashara gani hapa Dar au around mkoa wa Pwani?
Natanguliza shukrani zenu.
Mkuu soma hii mada hapa chini
https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/28270-mtaji-10-million-tzs.html
..all the best...........hii mada imenilipa na inaendelea kunilipa, ...kwa kifupi imenitoa!!........nawashukuru wote waliochangia mawazo........
Asante kwa mrejesho, umekumbuka kupeleka fungu la kumi la mapato yako kwa Yatima?
Mkuu Malila....heshima mbele!.....kutimiza wajibu wangu kwa Yatima nilianza tangu nilipoanza kupata kipato cha jasho langu,.........wako niliowasomesha na wamemaliza Chuo Kikuu na wanajitegemea......."mwenzio naitwa Babu sasa hivi"........wengine bado wako mashuleni, na vyuoni......hii miradi imeongeza gawio sio kwa Yatima pekee bali hata Sadaka kwa Mola wetu.......Asante sana kwa ujumbe......