Mtaji wa Sh. Mil 5 unafaa kwa biashara gani?

Wengi tuna hizo 5mil tunahitaji mawazo/alternatives za kuwekeza. Always "Sharing is caring"
 
Mi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nachukua shahada ya uhasibu. Wana JF nina mtaji sh. Million 5. Je naweza kuwekeza katika aina gani ya biashara na iweze kunilipa vizuri kwa miaka 2. Naombeni mnisadie kwa hili.
Njoo nikupe gari mpya ya uber, kama uko Dar, utatanguliza hizo kama Advnce Payment then balance utalipa polepole na wewe utapata mapato pamoja na kulipia gari kwa kiwango tutakachokubaliana na gari itakuwa yako baada ya kumaliza deni (HIRE PURCHASE)

Mapato ya Uber kwa sasa ni sh 150,000 hadi 200,000 kwa wiki tegemea na bidii ya dereva

Kwa mhasibu natumaini utakuwa umenielewa vema
 

Nashukuru kwa kumsistizia madereva
Mi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nachukua shahada ya uhasibu. Wana JF nina mtaji sh. Million 5. Je naweza kuwekeza katika aina gani ya biashara na iweze kunilipa vizuri kwa miaka 2. Naombeni mnisadie kwa hili.

Naomba kama mhusika bado yupo humu atupe alau mrejesho wa jinsi alivyotumia ushauri aliupata hapa JF kuhusu kuwekeza mil 5.
Ahsante
 
Noma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wazo la boda boda sio baya,ni biashara ya bilions of us $ inategemea una nini cha ziada tofauti na wanachofanya wenzako, #gamechanger' look abt lyft,uber,karigo, vaya few to mention, ni ubunifu tu, shida anataka waumize vichwa wengine yeye faida tu.
 
Mkuu nimekuwa nikifuatilia hoja zako huku jf naona unapiga vita biashara za uchuuzi kabisa wala hutaki kutake interest huko, maana kweli unakuta mtu eti ana Guest house, stationery, kibanda cha chipsi, saloon ya kiume, grocery bar na boda boda moja, afu miaka nenda miaka Rudi yuko vile vile habadiliki hata, akili vile vile, yaani akimiliki tablet kwake ni anasa, hasa ana suistainability gani hapo mkuu. Yaani mi na wewe fikra zetu moja mkuu, hata kama hutota invest kwenye kilimo Kama id yako ilivo, basi mtu unaeza ukawa na idea ndogo ukaanza ila iwe na impacts change na sustainable.
 
Mawazo yako mengi unainterest na vitu gani njoo tuwekeze kwenye chakula...
 
Gari la aina gani? Jumla ya malipo (mkopo) ni kiasi gani na analipa kwa muda gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo nikuuzie kiwanja, kipo kwala kwenye bandari ya nchi kavu na rail ya SGR inapita hapo...baada ya mwaka wewe utauza milioni 10 na kuendelea..
Ukubwa wa eneo 70*20

Bandari kubwa ya nchi kavu ipo mbioni kuanza kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…