Elifuraha Longu
Member
- May 8, 2014
- 73
- 10
Anza biashara ya kilimo.. Nunua mashine ya moneymaker water pump kwa ajli ya umwagiliaji, lima angalau ekari 2 zak kuanzia,
nunua mbegu bora za kupandia e.g pannar.. Tafuta eneo lenye chanzo cha maji cha kudumu, anza shughuli za kilimo rasmi..
Au...
Fanyya utafiti juu ya ununuzi wa mahindi sokoni, halafu nunua, saga unga weka kwenye viroba vyenye ujazo kulingana na mahitaji ya wateja wako, ingiza sokoni kwa ajili ya mauzo..
Hapo utakuwa umeongeza thamani ya mahindi na utapata faida kwa kiasi fulani..
Kumbuka sasa hivi kuna njaa kali sana KENYA, hii ni fursa kwako kuwauzia unga wa mahindi..
Ama,
waweza anza kama mnunuzi mdogo wa kuku kutoka maeneo mbali mbali vijijini kwa bei ya chini mfano shs elfu 3.5, halafu unakuja kuwauza mijini kwa bei ya shs 7000 na kuendelea..
Ni wewe tu mkuu kupanga..
Kumbuka mali bila daftari,........

ingawa uzi sio wangu ila nimepata kitu kutoka kwako hasa point mbili za mwisho.