Mimi nimemaliza kidato cha nne miaka ya tisini. sikufanikiwa kuendelea na masomo kutokana na matatizo ya kifamilia.
Na sasa nina familia tayari swala la kurudi shule naona kama ni gumu kidogo. Nina kiasi cha tzs 4 million ambazo nahitaji kuinvest ktk biashara au popote kulingana na nitakavyo shauriwa nanyi wadau.
serious nahitaji msaada wenu ilikuweza kuendesha maisha kwa njia za halali.
Natanguliza shukrani kwa msaada kutoka kwenu wadau.
Naombeni maoni yenu.
Samahani kama ntakukwaza coz sijui imani yako.Biashara ya kibanda cha kiti moto inalipa vizuri sana hata ukiwa na mtaji wa milioni 2 tu.Hakikisha unapata vijana wawili sharp na eneo lisilo rasmi saana na iwe ni kwenye viunga vya mji kama uko Dar namaanisha maeneo kama Tabata,Ukonga ambayo mahitaji ni makubwa ila outlets bado ni chache na hayana imani kali wengi.Ukipata eneo la kibanda hata kama utalipa elfu 50 kwa mwezi
NduGU YANGU HAKUNA FLEM YA ELF 50 KWA MWEZI, NYING ZINAANZA LAKI MOJA, ELF 50 NI SAWA NA ALFU MOJA NA USHEE KWA SIKU HATAPATA SEHEM POA KWA BEI HYO.
Nunua mazao kama mahindi,mpunga wkt huu ambapo bei imeshuka kwa mfano mikoa ya Iringa,mbeya,katavi,rukwa/morogoro then weka stock kwa muda wa miezi kadhaa.Bei ikipanda utauza chakula hicho na kupata faida mara dufu.Tenga fedha za usafiri,utunzaji na huduma nyingine.Ukiwa makin utatoka mwake.
1.anzisha chuo cha kutoa mafunzo ya muda mfupi
2.fungua duka la jumla.....la vitu vidogo dogo
3.fungua it company.......
4.fungua building and contructions company
5.fungua pub au bar.....
hizi ndo inshu mjini zinazolipa tuu.........
Akhsante Mkuu kwa ushauri. nitaufanyia kazi.1.anzisha chuo cha kutoa mafunzo ya muda mfupi
2.fungua duka la jumla.....la vitu vidogo dogo
3.fungua it company.......
4.fungua building and contructions company
5.fungua pub au bar.....
hizi ndo inshu mjini zinazolipa tuu.........
NIAJE MR SAMAHANI NILIONA POST YAKO I HSOMETHING FOR YOU NI CHECK KWENYE E MAIL YANGU NITAKUPA UPTODATE mkuchur@yahoo.com
Jamani hiyo 4m inaweza kufungua1.anzisha chuo cha kutoa mafunzo ya muda mfupi
2.fungua duka la jumla.....la vitu vidogo dogo
3.fungua it company.......
4.fungua building and contructions company
5.fungua pub au bar.....
hizi ndo inshu mjini zinazolipa tuu.........