Mtaji wa wa shiling laki saba :

mbena yero

Member
Joined
Jan 13, 2017
Posts
53
Reaction score
21
Habari za muda huu ndugu zangu! Naomba kwa mwenye ufahamu na maswala ya biashara, je kwa mtaji wa laki saba naweza kuanzisha biashara gani? Ambayo itakuwa na mzunguko mzuri, Naombeni ushauri wenu wadau nawasilisha.Nipo Iringa mjini.
 
Kaka inatosha,,nunua nyanya leta dar,,unapata box 20,,unauza huku unapata faida laki 2
Kwa hiyo hapo anapata hizo box 20 na nauli ya kusafirishia inatosha? f
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…