Mtajiju!

Mwazani

Member
Joined
May 27, 2010
Posts
75
Reaction score
11
Mwazani Jina langu, desh desh mchumba wangu.
Ndo naingia hivyo.
Mtajiju!!
Wapendwa, nikaribisheni tafadhali.
 
sasa tutajiju nini??
 
Mh huo ujio wako tu umezua maswali haya ngoja tuone tutakavojiju wana JF
 
Hizo mbwembwe!!Utadhani umekuja kumsuta mwenyeji!
 
watu hawaishi kushangaza jamani
sas hapa kuna mgeni kweli??? nijuavyo mimi mgeni wa kweli unakuwa na reservation anagalau!!!
Mgeni huyu kaja kishari zaidi, isije ikawa ndio yule shostisho aliyekuwa akikatazwa na mchumbake kuwa memba jukwaani.!
nina mashaka naye sana ati.!

Mgeni karibu utupe kheri zako ulizokuja nazo na shari zako MOLA atuepushe nazo....Aaaameeen.
 
Da Sophy kaja kivingine!!
 
Mgeni huyu kaja kishari zaidi, isije ikawa ndio yule shostisho aliyekuwa akikatazwa na mchumbake kuwa memba jukwaani.!
nina mashaka naye sana ati.!

Mgeni karibu utupe kheri zako ulizokuja nazo na shari zako MOLA atuepushe nazo....Aaaameeen.

Ushindwe na ulegee.
 
Mmh!
Huu ujio ni Babu KUBWA. Wana JF jipangeni ohooo!!!
Haya mama, karibu ila naomba niku habarishe japo kiduchu. Usiache kuperuziperuzi tule tusheria twetu, maana humu ndani tuna sheria na tatatibu ambazo ni lazima kuzifuata. Hivyo jitahidi kuzijua mapema ili kuwa katika nafasi nzuri ya kuwa member na mwalimu mzuri. Warm welcome to The Home of Great Thinkers
Haya karibu jimwage jamvini na hiyo UTAJIJU style
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…