Mtajiju!

imebidi nitupie jicho hii heading tu
kaaazi kweli,aya karibu tupo kama ivi
ila yote heri tu!
 
imebidi nitupie jicho hii heading tu
kaaazi kweli,aya karibu tupo kama ivi
ila yote heri tu!

Huyu siyo mgeni hata kidogo! Nadhani ID yake ya kwanza umewekwa kapuni na Invisible na sasa kaja na nyingine kutulingishia kama mtoto anayekula barafu katikakati ya kundi. Mimi sikujua hata cha kuandika baada ya kuingia rasmi, na kwa hiyo siamini kama haya ni maneno ya mtu anayeliona jamvi kama member kwa mara kwanza! Ngoja tusubiri tuone.
 
Karibu sana Mwazani, hapa kichwani nimejenga hisia jinsi unavyo fanana, yani hapa nakuona , uko uswahilini , umekaa ukumbini na ni Bonge la jimama neneee ,halafu me vaa khanga moja huku umekalia mbuzi unakuna nazi ,halafu ume nyosha vidole na kusema "Mtajiju" huku umefungulia redio (ile uliyo letewa na mtoto wa dadako alie enda Dubei) kwa sauti kubwa , ukisikiliza "Leo tena" ya KIna Gea Habibu wakicheza taarab, ambayo kama ina msema mpangaji mwenzako kwamba Riski hutolewa na Mwenywezi.
 

Umejuaje kama nakipenda kile kipindi cha leo tena!
jamani wewe ni mtabiri!
 
Mwazani Jina langu, desh desh mchumba wangu.
Ndo naingia hivyo.
Mtajiju!!
Wapendwa, nikaribisheni tafadhali.

Manzani, ooh no Mwazani (unajua mimi kwetu ni karibu na mwanza, hivyo ni rahisi zaidi kuandika Mwanza badala ya mwaza)
Avatar yako inaonyesha uko very natural kwa physical appearance.
Umenivutia na karibu sana tu kwenye virtual world ya watanzania, JF.
 
Hahahaha hii post nilikuwa mbado kuiona nimecheaaka mwazani naomba mbavu za spea
 
Mkuu Chrispin,
Una maana hawa walokole huwa wana maana hii wakimwambia mtu maneno hayo mekundu?😛eace:
Kuonesha kuwa umenielewa nachomaanisha, hebu soma hapa chini








The Following User Says Thank You to Katabazi For This Useful Post:

Chrispin (Today)​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…