mtaka cha mvunguni????????

Binua tanda chukuaa...
kweli kila mtu anakula kwa jasho lake!!!
 
I like your arguments Maria.
Kweli picha inatoa taswira nyingi sana, lakini nahisi hiyo kamera ya jamaa ilikuwa na matatizo maana mmanga kakomaa ile mbaya. Mchizi na kimwana, jamaa na kamera mmanga na nyaya full bize...
 
Usanii kazi sana..hasa inapokuwa kuna waigizaji wanafunzi mambo yanakuwa magumu zaidi..mbinu zote mbadala lazima zitumike kupata scene!
 
Cheusi..mbona hilo gauni la msanii linafanana sana na avatar yako? Hasa huko kuwaka waka...au ni picha yako halisi?
 
Kitendo chochote..kikisha pewa jina la "kazi" inakuwa kazi kweli kweli...
 
hivi hapo ni wapi lakini mbona kama wamefungiwa korokoloni
 
hivi hapo ni wapi lakini mbona kama wamefungiwa korokoloni
..Huwa unanifurahishaga sana the way unavyostaajabu mambo..Mara mie mwenzenu hiki ndio nini sijui?? mara hapa ndio wapi?? Mashaalah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…