Mtaka, Kalaghe Wamekatwa kwenye Usaili wa Uchaguzi RT, Wakata Rufaa na Maamuzi ya Kamati Yatoka

Mtaka, Kalaghe Wamekatwa kwenye Usaili wa Uchaguzi RT, Wakata Rufaa na Maamuzi ya Kamati Yatoka

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
Baada ya Aliyekuwa Rais (Anthony Mtaka) wa RT na Makamu wake (William Kallaghe) kuondolewa kwenye usaili wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Waliwasilisha rufaa zao kwenye kamati hiyo. Majibu ya kamati ya Usaili, ikawasilisha maamuzi yake.
IMG_20210130_103017_474.jpg
 
Vp yule aliyekuwa katibu wa RT GIDABUDAY aligombea naye namkubal sana yule jamaa vp katoboa au hakugombea kabisa
 
Vp yule aliyekuwa katibu wa RT GIDABUDAY aligombea naye namkubal sana yule jamaa vp katoboa au hakugombea kabisa
Yule alishapigwa figisu long time,anachunga NGO'mbe tu saizi......RT wasubilie mpaka BAYI astaafu mwenyewe
 
Dah hivi BAYI ni kama nani pale RT nachojua n mwanariadha wa zaman
Katibu Mkuu wa milele wa TOC! Hii ni Kamati ya Olympic nchini. Misaada na mijihela yote ikitoka kwa Mabeberu, ni lazima ipitie mikononi mwake kwanza.
 
Wajumbe wamekula kichwa ya Mtaka! Na yeye atosheke hukuvkwingine aachie wenzake.....
 
Back
Top Bottom