Melubo Letema JF-Expert Member Joined Apr 1, 2020 Posts 416 Reaction score 414 Jan 30, 2021 #1 Baada ya Aliyekuwa Rais (Anthony Mtaka) wa RT na Makamu wake (William Kallaghe) kuondolewa kwenye usaili wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Waliwasilisha rufaa zao kwenye kamati hiyo. Majibu ya kamati ya Usaili, ikawasilisha maamuzi yake.
Baada ya Aliyekuwa Rais (Anthony Mtaka) wa RT na Makamu wake (William Kallaghe) kuondolewa kwenye usaili wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Waliwasilisha rufaa zao kwenye kamati hiyo. Majibu ya kamati ya Usaili, ikawasilisha maamuzi yake.
Peramiho yetu JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 5,303 Reaction score 14,983 Jan 30, 2021 #2 Vp yule aliyekuwa katibu wa RT GIDABUDAY aligombea naye namkubal sana yule jamaa vp katoboa au hakugombea kabisa
Vp yule aliyekuwa katibu wa RT GIDABUDAY aligombea naye namkubal sana yule jamaa vp katoboa au hakugombea kabisa
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Jan 30, 2021 #3 Peramiho yetu said: Vp yule aliyekuwa katibu wa RT GIDABUDAY aligombea naye namkubal sana yule jamaa vp katoboa au hakugombea kabisa Click to expand... Yule alishapigwa figisu long time,anachunga NGO'mbe tu saizi......RT wasubilie mpaka BAYI astaafu mwenyewe
Peramiho yetu said: Vp yule aliyekuwa katibu wa RT GIDABUDAY aligombea naye namkubal sana yule jamaa vp katoboa au hakugombea kabisa Click to expand... Yule alishapigwa figisu long time,anachunga NGO'mbe tu saizi......RT wasubilie mpaka BAYI astaafu mwenyewe
Peramiho yetu JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 5,303 Reaction score 14,983 Jan 30, 2021 #4 Chukwuemeka Takpo said: Yule alishapigwa figisu long time,anachunga NGO'mbe tu saizi......RT wasubilie mpaka BAYI astaafu mwenyewe Click to expand... Dah hivi BAYI ni kama nani pale RT nachojua n mwanariadha wa zaman
Chukwuemeka Takpo said: Yule alishapigwa figisu long time,anachunga NGO'mbe tu saizi......RT wasubilie mpaka BAYI astaafu mwenyewe Click to expand... Dah hivi BAYI ni kama nani pale RT nachojua n mwanariadha wa zaman
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Jan 30, 2021 #5 Peramiho yetu said: Dah hivi BAYI ni kama nani pale RT nachojua n mwanariadha wa zaman Click to expand... Katibu Mkuu wa milele wa TOC! Hii ni Kamati ya Olympic nchini. Misaada na mijihela yote ikitoka kwa Mabeberu, ni lazima ipitie mikononi mwake kwanza.
Peramiho yetu said: Dah hivi BAYI ni kama nani pale RT nachojua n mwanariadha wa zaman Click to expand... Katibu Mkuu wa milele wa TOC! Hii ni Kamati ya Olympic nchini. Misaada na mijihela yote ikitoka kwa Mabeberu, ni lazima ipitie mikononi mwake kwanza.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jan 30, 2021 #6 Mtaka U-RC haumtoshi?
Twamo JF-Expert Member Joined May 27, 2017 Posts 2,884 Reaction score 5,016 Jan 30, 2021 #7 Wajumbe wamekula kichwa ya Mtaka! Na yeye atosheke hukuvkwingine aachie wenzake.....