Madam nakupenda nataka nikuchomekee mashineHappy new year kwa members na uongozi wote wa jamii forums
Mkuu unataka umchomekee hapahapa jukwaaniMadam nakupenda nataka nikuchomekee mashine
Yaani ukiingia humu lazma ucheke[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Madam nakupenda nataka nikuchomekee mashine
Kawaida tu mkuuYaani ukiingia humu lazma ucheke[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hope hauko serious!! Samahani na asante kwa kunipenda.Madam nakupenda nataka nikuchomekee mashine
Karibu!Thanks madam
Nenda kafanye assjobMkuu una asteria kama kisandu wewe ujue [emoji2] [emoji2]
Kamuulize ata dada yakoNdo nini mkuu?
Happy new year emmyta
Ahsanteni sana na mie pia niwatakie heri ya mwaka mpya. M'Mungu azidi kuwasimamia katika kila mfanyalo.[HASHTAG]#Heri[/HASHTAG] ya mwaka mpya kwako Emmyta
[HASHTAG]#kichwa[/HASHTAG] Kichafu
[HASHTAG]#Nakadharika[/HASHTAG]
Dadangu?? Mkuu mkuu ayaaa !!!Kamuulize ata dada yako
Sure hujakoseaDadangu?? Mkuu mkuu ayaaa !!!
Nimemuuliza mkuu
Kaniambia
"Ni mtiririko wa machine kwenye mto wa form 3, hadi 4 tano na sita, kwenye kilele cha mafuta ya taa"
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Shukranii dada yangu Emmyta"Ahsanteni sana na mie pia niwatakie heri ya mwaka mpya. M'Mungu azidi kuwasimamia katika kila mfanyalo.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mbarikiwe sana.
Karibu sana Kaka. [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Shukranii dada yangu Emmyta"