Mtakie Jumapili Njema Umpendaye Humu JF

Uwe na Jumapili njema kwako Swahiba wangu wa nguvu BAK iwe ni jumapili yenye furaha tele na uwe ndio mwanzo mzuri wa kuikaribisha Wiki mpya ya mapambano.

Siku zote Emmy penda sana wewe. [emoji7] [emoji8]
Acha nitoke kupitia wewe,jaman BAK awe na weekend njema kwakweli.
 
Ahsante sana bonge mwenzangu [emoji85] [emoji85]. Ila sio kwa kunifanyia hivyo jamani. Lol

Ubarikiwe sana kipenzi na kwako pia iwe ni yenye kwenda salama na iliyojaa furaha tele. [emoji8]
Bonge mwenzangu nimefanyaje uwiiiii[emoji87]

Amen dear[emoji120] [emoji120]
 
Hahahaa. Nilijua tu ulivyo muoga lazima ushutuke lol. [emoji12] [emoji12]

Karibu sana mumy. [emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wewe nlikuwa nshaanza kujiuliza hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…