Mtakie Jumapili Njema Umpendaye Humu JF

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wewe nlikuwa nshaanza kujiuliza hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaa. Ukawaza ulivyoviandika jf kipi kimemgusa emmy. Lol

Hamna kitu rafiki.
 
Ahsante sana Swahiba wangu. Love you more Sweetie. [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]

I hope your Sunday is very special in so many ways. [emoji173]️[emoji173]️

Jumapili njema kwako Swahiba wangu wa nguvu BAK, kwako iwe ni jumapili yenye furaha tele na uwe ndio mwanzo mzuri wa kuikaribisha Wiki mpya ya mapambano.

Siku zote Emmy penda sana wewe. [emoji7] [emoji8]
 
Ahsante sana Swahiba wangu. Love you more Sweetie. [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]

I hope your Sunday is very special in so many ways. [emoji173]️[emoji173]️
Thanks a lot BAK. [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Namshukuru Allah imekwenda poa sana tu.

Uwe na siku njema. [emoji8] [emoji8] [emoji7]
 
Reactions: BAK
Nafurahi kusikia hivyo Sweetie, Mie pia inaendealea vizuri naangalia timu yangu ya Arsenal hapa inahangaika uwanjani kulinda magoli mawili. Enjoy the rest of your weekend.

[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]

Hahahaaa. Duuh. Muwe na kila la kheri katika kupaki basi lenu. [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Ahsante sana. [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji106]
 
Reactions: BAK
Hahahahaha lol! Hii timu yangu inasikitisha sana aisee. Kutoka one of the best teams in the World hadi kuwa mdebwedo. Tumeongeza kagoli kengine na mpira umeisha 3-0.

Hongereni sana kwa kuuona mwezi. [emoji85] [emoji85]
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…