Mtakuja kutuua...

huyo jamaa kafanya kazi hasa hadi nimekumbuka enzi zangu za ujana ikisadifiwa na mafunzo toka JKT Oljoro unasimia show huku unakumbuka push up na kubeba dunia saiz na uzee huu kimoja tu nakoroma zangu
 
Shemeji ako wamuita kuli!!!kuli mwenyewe🙁
Basi ni robot,dunia hii hakuna mtu anagegeda masaa matano mfululizo,huu ni uwongo mkubwa na unafaa kukemewa,nyie ndio mnasababisha tuachwe kwa kudhani hatu`perfom vizuri kumbe watu wanameza matango pori kama haya..naona mijibaba mizima imekomaa kuchangia tu uwongo huu,wakati inajua fika kuwa hilo suala halipo na haliwezekaniki...shame!
 
Niliblock namba bro, baada ya siku tatu mwili kupoa, na organ zote za mwili kurudi katika hali ya kawaida nikarudi kwa ile number taratibu nikai unblock....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Whaaat!!!dunia hii hakuna mtu abagegeda 5hrs?okay alinigegedea kule Pluto, we kama unatmb dakika mbili sawa bwana akupe wa kufanana na wewe aone hizo dakika mbili ni mziki mnene, kuna watu wanatmb narudia kuna watu wanatmb ooooohhhhh!!!!!!!!!!!
 
Mtumishi kuna mtu alikua anaomba ushauri juzi kati kaolewa na jamaa ake hawakuwahi kukwichi kufika ndani jamaa hana pmb mi siwezi mshauri mtu aolewe bila kutest mitambo
Kutest mitambo muhimu, kuna vitu unaweza kukutana navyo ukakaa chini kwanza ukaliaaaa alafu ukajikuta unamlaumu Mungu bureeee.
 
Niliblock namba bro, baada ya siku tatu mwili kupoa, na organ zote za mwili kurudi katika hali ya kawaida nikarudi kwa ile number taratibu nikai unblock....
Kumbe hakuwa baba watoto....

Astaghafurulilah laadhim
 
Kutest mitambo muhimu, kuna viti unaweza kukutana navyo ukakaa chini kwanza ukaliaaaa alafu ukajikuta unamlaumu Mungu bureeee.
Mi huwa nawaza hivi unaolewa tu na mtu hujui alichonacho, what if ana booonge la dude dude la kijeshi dude la kijerumani left hand, au ana kadogoooo kameshatoka kwenye kibamia made in Asia, au hana kabisa!!!
Mi siwezi jamani siwezi cc mtumishi wa BWANA Son of Gamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…