Mtumishi Mkuu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 259
- 92
Wataalamu, kwa muda sasa nimekuwa nikisoma kwenye magazeti yetu wanaandika mitalaa. Kwa ufahamu wangu ninajua kuwa ni mitaala na sio mitalaa, ila kwa jinsi matumizi ya neno mitalaa yanavyoongezeka nikahisi labda mimi ndio nakosea, ni neno lipi sahihi kati ya mitalaa na mitaala? Asanteni