Mtumishi Mkuu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 259
- 92
Wataalamu, kwa muda sasa nimekuwa nikisoma kwenye magazeti yetu wanaandika mitalaa. Kwa ufahamu wangu ninajua kuwa ni mitaala na sio mitalaa, ila kwa jinsi matumizi ya neno mitalaa yanavyoongezeka nikahisi labda mimi ndio nakosea, ni neno lipi sahihi kati ya mitalaa na mitaala? Asanteni
it seems we ar not serious na selikali yetu.
Wataalamu, kwa muda sasa nimekuwa nikisoma kwenye magazeti yetu wanaandika mitalaa. Kwa ufahamu wangu ninajua kuwa ni mitaala na sio mitalaa, ila kwa jinsi matumizi ya neno mitalaa yanavyoongezeka nikahisi labda mimi ndio nakosea, ni neno lipi sahihi kati ya mitalaa na mitaala? Asanteni
uko sawaneno sahihi la kiswahili ni mitalaa.
Kamusi ya kiswahili:TUKI (2001) ina neno MTALAA (kwa maana ya curriculum) na sio MTAALA!Mimi najua mitaala, inayotoka katika msingi mmoja na taaluma, yenye wataalamu. Mitalaa sijawahi kuisikia, labda kama ni neno jipya au sikulijua.
Etymology?Kamusi ya kiswahili:TUKI (2001) ina neno MTALAA (kwa maana ya curriculum) na sio MTAALA!
neno sahihi la kiswahili ni mitalaa.
Kamusi ya kiswahili:TUKI (2001) ina neno MTALAA (kwa maana ya curriculum) na sio MTAALA!
Yote sahihi...... muulize Mulugo uone kama anajua!
Binafsi sina muongozo uelekezao asili (origin) ya neno Mtalaa!! but neno hilo (mtalaa) TUKI wanalitumia katika maandiko.Etymology?
Umesoma maandiko kwenye KAMUSI za kiswahili???? Usiseme hakuna neno ikiwa hujajiridhisha!!Hakuna neno kama mitalaa:shut-mouth: