Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Zari na ivanndio wakina nani hao?
Mkuu unamaanisha michirizi ya sehemu gani?Ila Zari mzuri sana duuuuu halafu naona hajapasukapasuka michirizi km Wema Sepenga.
Ana mipasuko sana sema anaedit sana picha kabla ya kupostIla Zari mzuri sana duuuuu halafu naona hajapasukapasuka michirizi km Wema Sepenga.