C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,743
wakuu mpo
kesho naenda zanzibar kwa ajili ya kufanya utalii wa ndani sio tu watalii wa nje wanakuja kufanya utalii na sisi watanzania tuko hapa hapa sasa basi nimeamua kesho niende zangu zanzibar kufanya utalii na kadhalika ila sasa kwa kuwa nimetoka kuachana na kimeo changu ambacho kililiwa na hr sio mbaya na mimi huko ninakoenda nkatafuta kiburudisho sasa wakuu wenye uelewa na zanzibar wajaribu kuniambia maeneo ambayo ninaweza pata kiburudisho kitakachoniburudisha wakati wote nitakaokuwa zanzibar maana nasikia kule ndio kwenyewe sasa naomba nikajionee mwenyewe
mwenye kunipa full details nitashukuru