Wambandwa,
Tumekidhi mahitaji ya chakula kwanza? Tukianza kufikiria kuuza chakula kwa biofuels long term effects zitakuwa zipi katika soko la chakula?
Tusije kuanza kuuza mtama na mahindi kwa wakubwa kwa ajili ya biofuels kesho keshokutwa tukashindwa hata kununua chakula kutokana na bei kupanda.
Mtama na mahindi ni chakula cha binadamu, siyo nishati ya kuendesha mitambo.