Mtamaliza mabucha nyama ni ile ile

:A S 114::A S 8::A S 8::A S-heart-2: si kweli msemo huo umepitwa na wakati, hata lugha ina kua na kufa, nyama ya bata ni bata, kuku ni kuku, ng'ombe ni ng'ombe
na ngombe au bata mwenye mafuta si sawa na aliye konda, ladha ya nyama zinatofautiana, mfano mm nikitunia mwiko wangu kupika nyama ya mkia wa ng'ombe inanoga sana kuliko kupika paja
 

Waambie bro. Najua tofauti zipo ila sikujua kwa kiwango hiki ulichoeleza! Huu ni upembuzi yakinifu kama ule wa RAI Original enzi hizo. Wapinzani wanapenda sana kuhalalisha kuwa nyama ni nyama. Si kweli lazima tuangalie na mafuta pia. Teh teh teh
 

vegule umenifungulia mwaka kwa amani ujue hivo!!!!!!!!!
 

kwi kwi kwi lol nimecheka mpaka basi mwe we vegule namaliza mwaka kwa kicheko maana ndio naingia kulala sasa kha. Wandugu nyama ni ile ile ila aina, mapishi na mapishi ndio tofauti so wote wababa na wamama 2jitahid ku2nza hazina na kuziboresha ili wote 2furahie ladha i wish u all happy ending year
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…