Mtambo aeleza sababu ya kujiita Man Himself

Ashelimo

Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
45
Reaction score
29
Msanii wa maigizo ambaye amejikita katika uchekeshaji Ahmad Juma maarufu kama Mtambo amefunguka juu ya tabia yake ya kujiita Man himself.
Msanii huyo ambaye hupatikana kupitia channel ya YouTube iitwayo Mtambo Comedy amefumwa na mdau ambaye hakupenda jina lake kuwekwa wazi akiwa kijiweni maeneo ya Mail Moja Kibaha akipiga stori na rafiki zake.

Mnyetisha habari wetu alimsikia msanii akielezea kisa cha yeye kujiita man himself baada ya rafiki yake mmoja kumuuliza kulikoni kuweka caption ya Man himself kwenye Picha zake Mara kwa Mara.

Msanii huyo ambaye hutumia jina Mr.ten_dee huko Instagram alijibu swali kwa hisia sana.
Msanii alisikika akijisifia kwamba yeye ni moto wa kuotea mbali kunako sita kwa sita, Kitu ambacho ameishi muda mrefu bila yeye kujitambua kwamba anauwezo mkubwa wa kumfurahisha mwanamke.

"Unajua Mara ya kwanza kufanya mapenzi nilichemka. Nikawa naamini kwamba labda mimi siko kama wengine. Nikawa na Pima nguvu hizo kwa mkono wangu. Nikaona hazitoshi. Siku Moja nikiwa shule roommate mmoja alikuwa na simu yeye porno nilivutiwa Kuangalia na nikaona jamaa ambaye hana nguvu kama zangu akimstarehesha Mwanamke. Kujiamini Kwangu kukaongezeka. Miezi kadhaa mbele nikapata demu, Mbona aliomba po! Mara nimechoka, Mara nasikia kiu. Mi ni fire!! Wa naomba po! Nasimika mzizi vibaya", Alisika Mtambo na kuwaacha hoi rafiki zake.

Mtambo anatamba na comedy kali kama ya Shemeji snich, Mume wangu hana nguvu (Kali kuliko) na Nipe na Mimi.

Bofya hapa kuona moja ya comedy zake zinazobamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…